Inafanyaje kazi?

Fedha kwenye akaunti yako ndani ya dakika 5

Download App

Pakua Zenka App

Tembelea Google Play Store. Tafuta na kisha pakua Zenka Loan App kwenye simu yako.

Fill the application

Jaza fomu ya maombi

Baada ya kupakua programu yetu, chagua kiwango cha fedha unachohitaji kisha sajili na Zenka

Receive Money

Pokea fedha kwenye akauntiyako yaM-Pesa

Maombi yako yatahakikiwa na yatakapoidhinishwa, utapokea fedha kwenya akaunti yako ya M-Pesa.

Repay on time

Fanya marejesho ndani ya muda stahiki ili uwe na kumbukumbu nzuri ya ulipaji

TMarejesho ndani ya muda stahiki yanakuongezea kiwango cha ukopaji hivyo kukupa uwezo wa kukopa zaidi na zaidi kwa kiwango cha juu zaidi.
Kitu kinachotufoautisha sisi zaidi?

Kiasi cha ziada na upanuzi kufanya kazi!

Image
Image
Tuna imani na uwezo wa watu!

Hapa Zenka, tuna imani na watu na vipawa vyao. Tunaelewa kuwa kila kipawa, kila cheche lazima ilishwe na fedha za haraka ili fikra hizo na mahitaji hayo yaweze kuafikiwa.

Ndio maana tunawaptia nyenzo fedha zinazondoa mipaka na milolongo finyu ya urasimu wa taasisi za kifedha. Ukiwa nasi, uamuzi wa kukupa mkopo na kukuwezesha wewe ni wa papo na hapo.

Kila kitu ni kinaanzia na simu

Hapa Zenka, tutakamilisha shughuli zako zote za kifedha kupitia simu. Sasa una fursa ya kufikia huduma zetu wakati wowote, mahali popote.

Sahau kuhusu foleni ndefu za benki na utiriri wa milolongo ili upate mkopo. Zenka siku zote utakuwa mbele ya mstari kila wakati.

Tunatimiza ndoto zako huku ukiwa na furaha tele.

Image

Uwazi asilimia mia moja. [100%]

Ombi letu linakupa fursa ya kupata mkopo bila ya uchunguzi wa historia yako ya benki. Kwa kutuidhinishia kuangalia taarifa zako za simu inatuwezesha kupata maelezo muhimu ambayo yatatuwezesha kukupa mkopo ndani dakika chache mno.

Taarifa zitakazo chambuliwa na mitambo yetu:

Taarifa za chombo
Jarida ya ujumbe mfupi wa simu
Jarida la unaowasiliana nao
Taarifa za GPS
Orodha ya unowasiliana nao
Historia ya malipo
Taarifa za chombo
Jarida la unaowasiliana nao
Orodha ya unowasiliana nao
Jarida ya ujumbe mfupi wa simu
Taarifa za GPS
Historia ya malipo

Huna simu ya kisasa?

Je, kama simu yako ya mkononi haikuruhusu kupakua programu tumizi yetu ya Zenka Loan App? Ama labda eneo lako halina mtandao wa intaneti? Tuna suluhisho ya changamoto hii. Tumia fursa ya kupata mkopo wa papo kwa hapo kwa kutumia mfumo wa USSD.

Bofya nambari:

*

Na uweze kufurahia mikopo yetu ya papo hapo.

Arrows Right
Image
Fanikiwa na sisi

Ndoto yetu ni kuona watu wanajikuza, katika maisha yao binafsi na kitaaluma. Maono yetu ni kuanzisha usawa na muafaka wa kifedha duniani kwa kila mteja kwa kuwapa huduma za kifedha za kisasa zinazoendana na kasi ya mfumo wa maisha ya sasa popote ulipo kokote ulipo.

Urahisi wa kupata huduma za kifedha huondoa tofauti ndani ya kijamii na hutoa fursa za kibiashara zaidi. Tunatoa msaada kwa wote wenye kushiriki katika kukuza na kusukuma gurudumu la maendeleo kiuchumi bila kujali umri ama jamii watokayo. Matokeo yake ni imani yetu kuwa kwa pamoja tutaendeleza maendeleo ya nchi na dunia kwa ujumla.

Hii ni mbingu kwa Nyota zinazokua

Je unataka kubadilisha dunia na kuwa sehemu ya kitu kikubwa zaidi? Je una uchu wa kuhusu Machine Learning (ML), Artificial Intelligence (AI), ama ni mtaalam mwenye ujuzi na uliyebobea katika uwanja wako? Tuandikie, na ujiunge na timu yetu!

Jiunge na timu yetu

Watu wanavyosema kuhusu sisi

Tunatoa huduma za kifedha za papo kwa hapo na zilizowajibika. Tunawasaidia maelfu ya watu nchini Kenya kila siku. Tunakushukuru kwa dhati kwa kuwa na imani nasi.

Kila wakati nikiwaza juu ya pesa za matumizi yangu, ZENKA tu ndio huja kwenye akili yangu. Wamenitoa mbali na siwaachi hata!
Everytime I think of my financial woes, ZENKA comes to mind. They have truly been my go to facility for some cash. I am taking this journey with them always!

Janet Irungu
From Kiambu

Kwa kusema kweli, sikuweza lipa mkopo wangu wa kwanza kwa muda uliotarajiwa, lakini ZENKA walinielewa na kunipa mkopo mwingine kabla ya kumaliza ule wa kwanza. Saizi niko na Amani na watoto wangu wako shule. Mimi ni wao milele.
To tell you the truth, I had difficulties in paying my first loan, but ZENKA had my back. They offered me an extension loan even before I could repay off my first loan. My kids are in school and doing great and I am forever grateful

Kim Otieno
From Muhoroni

Dakika tano tu! Wewe jaribu kama unadhani ni utani. ZENKA haina uwongo hataa. Nitazidi kujijenga na ZENKA.
5 Minutes. Yes you heard me right. ZENKA has stuck with their word and they have me roped in.

Edgar Moraa
From Narok

Nina Amani rohoni. Masharti ya ZENKA ya kulipa mkopo ni tulivu na haina fiche yoyote kama wengine wanavofanya. Napenda wanavyo-tupokelea na kuwasiliana nasi. Usingoje, kwani ngoja ngoja huumiza matumbo jamani.
I have peace in my heart. The repayment plan is so flexible and their terms are not as dodgy as others. Its all clear and I love the way they treat and respond to me. What are you waiting for?

Aisha Tunu
From Kwale

Bila mambo mingi, ZENKA wako juu. Loan zao ni shwari na hakuna details mob. You just download the App, register and before you know it chapaa imeingia kwa Mpesa account yako. Saizi naeza sort any emergency, all thanks to ZENKA. I hope you guys are here to stay.

Alvin James
From Nairobi

Pakua programu tumizi yetu kwenye mtandao

na upate mkopo mara moja kwenye akaunti yako ya simu ya mkononi papo hapo.

Pakua kutoka google play Download our App

Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara

Hupati majibu? Tuko hapa kukupa msaada. Kwa msaada zaidi tuandikie kwenye anuani hii [email protected]

Kuhusu Zenka

Zenka ni ulingo wa aina yake wa mkopo binafsi kwenye soko. Ulingo ambao unawapa wakenya mamlaka juu ya fedha zao, kwa aina ya kipekee. Taratibu zetu za kujisajili na maombi ya mkopo ni rahisi mno na zaidi ya hapo fedha hutumwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa.
Ofisi zetu za Zenka zinapatikana Nairobi, Kenya.
Kwa sasa tunategemea mtandano wa Safaricom..
Kwa kutatua changamoto na kujibu maswali yako, tafadhali wasiliana na msadizi wetu kutuandikia barua pepe kwenye anuani hii [email protected]
Zenka inatumia mikakati na teknolojia ya kisasa ili kuthibiti taarifa zako zote husika kwa kuimarisha usalama kwa 100%. Taarifa zako hazitatolewa au kuuziwa kwa mhusika wa tatu, ila tu kwa sababu maalumu kama vile kuripoti kwa taasisi husika za mikopo. Tafadhali soma vigezo na mashartikwa maelezo zaidi.
Kwa programu tumizi ya simu rununu, Kiingereza ndio lugha pekee inayotumika. Kupitia mfumo wa USSD, Zenka inatumia Lugha ya Kiswahili pamoja na Kiingereza.

Maombi na Usajili kwa programu tumizi [Mobile App]

Kwa kupitia programu tumizi yaZenka Loans App – ambayo inapatikana Google Play.
Tunahitaji taarifa chache mno kutoka kwako. Tunachohitaji ni majina yako kamili, kitambulisho cha Taifa, jibu swali la usalama utakalochaguliwa na namba nne za neno la siri.
Swali la usalama ni swali la siri ambalo linakulazimu ulitolee jibu. Jibu lako linaweza kutumika kama mbadala wakati wa kubadilisha namba yako ya siri.

Ili kuhakikisha usalama wa akaunti yako, tafadhali usimfahamishe mtu yeyote jibu la swali lako la usalama.
Baada ya kupakua programu tumizi ya Zenka, tafadhali fuata hatua zifuatavyo:
 1. Fungua programu tumizi ya Zenka,
 2. Chagua kiasi cha mkopo na muda utakao kwenye maporomoko,
 3. Bofya kwenye "Omba Mkopo",
 4. Kwenye skrini ifuatayo, Bofya "Usajili",
 5. Ingiza jina lako la kwanza na la mwisho kisha nambari ya kitambulisho cha TaifaD,
 6. Chagua swali la usalama na kisha lipatie jibu,
 7. Ingiza namba ya siri, herufi 4 - PIN,
 8. Fuata kiungo na usome vigezo na masharti,
 9. Bofya " kubali na sajili" na utapokea ujumbe mfupi wa simu, ukiwa na namba nne za uthibiti,
 10. Angalia kama namba msimbo imekufikia moja kwa moja ama inukuu na uijaze kisha Bofya "Fanikisha".
Umefanikiwa kujisajili Zenka, unaweza kuendelea na maombi ya mkopo.
Mchakato mzima umerahisishwa mno, tafadhali fuata hatua zifuatavyo:
 1. Fungua programu tumizi ya Zenka,
 2. Chagua kiasi cha mkopo na muda utakao,
 3. Bofya kwenye "Pata Mkopo",
 4. Pokea maelezo ya pendekezo lako na Bofya "Pata Mkopo".
Baada ya mchakato wa uthibitishwaji wa papo kwa hapo, utapokea mkopo wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa.
Kwa urahisi wako na ili tuweze kukupa mkopo mara moja, Zenka inashughulikia maombi yako na kutuma mkopo wako kwenye akaunti yako ya M-Pesa moja kwa moja ndani ya muda mfupi.
Tunahakiki na kuripoti kwa Metropol, TransUnion na Creditinfo.
Ili kutimiza jukumu letu la kuwa kiongozi mkopeshaji mwenye kuwajibika, tunatumia mfumo wa kisasa unaoangalia na kutathmini kama unaweza pokea mkopo, ikiwa ni pamoja na historia yako na sisi, taarifa ya simu yako ya rununu na taarifa zitakazowasilisha kutoka taasisi za mikopo.
Unaweza ukazitizama na ukazihakiki taarifa baada ya kuingia kwenye programu ya Zenka. Ukisha ingia, tafadhali bofya alama ya kontua iliyo upande wa juu kulia kwenye programu tumizi. Taarifa inayo onyeshwa itakuwa na jina lako la kwanza, la mwisho, nambari ya simu, nambari ya kitambulisho cha Taifa, na kifungo kitakuwezesha kubadilisha nambari yako ya siri.
Tafadhali bofya kwenye umbopande iliyoko upande wa juu kulia kwenye programu tumizi, na kisha bofya "Badilisha namba ya siri". Chagua namba yako mpya ya siri, hakikisha na Bofya "hifadhi nambari mpya".
Kama umesahau nambari yako ya siri na hujaingia kwenye programu, tafadhali fuata hatua hizi:
 1. Fungua programu tumizi ya Zenka,
 2. Bofya " Jisajili",
 3. Bofya "Nimesahau namba ya siri", ipo kwenye mkono wako wa kulia,
 4. Jibu la swali la usalama na bofya "Endelea",
 5. Chagua namba mpya, hakikisha na Bofya "hifadhi namba mpya ya siri".

Maombi na Usajili kwa kitufe (USSD)

Unaweza pata huduma zetu kupitia simu ya mkononi, bofya kitufe *841# kisha piga
Tunahitaji taarifa chache mno kutoka kwako. Tunachohitaji ni majina yako kamili, kitambulisho cha Taifa, jibu swali la usalama utakalochaguliwa na namba nne za neno la siri.
Swali la usalama ni swali la siri ambalo linakulazimu ulitolee jibu. Jibu lako linaweza kutumika kama mbadala wakati wa kubadilisha namba yako ya siri.

Ili kuhakikisha usalama wa akaunti yako, tafadhali usimwambie mtu yeyote jawabu la lako la swali la usalama.
Kwenye simu yako ya mkononi, tafadhali bofya kitufe *841# kisha piga
Mchakato mzima umerahisishwa mno,

tafadhali fuata maelekezo yafuatayo:
 1. Bofya kitufe *841# kisha piga,
 2. giza namba ya siri, herufi 4 - PIN,
 3. Bofya " Omba Mkopo" kupokea taarifa zote kuhusu kiwango unachoweza kukopa,
 4. Chagua kupata mkopo mzima, ama ingiza kiwango utakacho,
 5. Chagua muda wa kulipa mkopo.
Baada ya mchakato wa uthibitishwaji wa papo kwa hapo, utapokea mkopo wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa.
Kwa urahisi wako na ili tuweze kukupa mkopo mara moja, Zenka inashughulikia maombi yako na kutuma mkopo wako kwenye akaunti yako ya M-Pesa moja kwa moja ndani ya muda mfupi.
Tunahakiki na kuripoti kwa Metropol, TransUnion na Creditinfo.
Ili kutimiza jukumu letu la kuwa kiongozi mkopeshaji mwenye kuwajibika, tunatumia mfumo wa kisasa unaoangalia na kutathmini kama unaweza pokea mkopo, ikiwa ni pamoja na historia yako na sisi, taarifa ya simu yako ya rununu na taarifa zitakazowasilisha kutoka taasisi za mikopo.
Kupitia simu yako ya mkononi, tafadhali fuata hatua zifuatazo:
 1. Bofya kitufe *841# kisha piga,
 2. Ingiza namba ya siri, herufi 4 - PIN,
 3. Chagua "Badilisha namba ya siri",
 4. Ingiza namba mpya ya siri.
Baada ya kuhakiki na kuingiza namba mpya ya siri, utapokea taarifa yenye kukufahamisha kuhusu mabadiliko uliyoyafanya.
Iwapo umesahau namba yako ya siri, tafadhali fuata hatua zifuatazo:
 1. Bofya kitufe *841# kisha piga,
 2. Bofya "Rekebisha Tena"
 3. Ingiza jibu la swali la usalama na bonyeza "Tuma" tena.
 4. Ingiza nambari mpya ambayo unaifaa wewe na ubonyeze "Tuma" tena.
Baada ya kuhakiki na kuingiza namba mpya ya siri, utapokea taarifa yenye kukufahamisha kuhusu mabadiliko uliyoyafanya.

Mikopo tunayotoa kupitia Programu tumizi (Mobile App)

Unaweza kuomba mkopo kuanzia kiwango cha shilingi mia tano (Ksh500) mpaka elfu kumi (10,000)
Njia nyepesi ya kuongeza mkopo wako na kwa kiasi cha juu zaidi ni kwa kuwa na mrejesho mzuri, yaani mrejesho kamili na ulio ndani ya muda husika kwenye kumbukumbu za Zenka. Unaweza kufanikiwa katika hili kwa urahisi iwapo utazingatia na kutimiza masharti kila mara unapochukua mkopo na Zenka.
Tunatoa utaratibu wa marejesho kwa siku sitini na moja (61) ambazo zimegawanywa katika vipindi viwili (2) ambavyo ni sawa.
Kwa mkopo wa siku sitini na moja (61), tunatoza ada ya 25%, iliyogawanywa katika vipengele viwili vilivyo sawa.
Tunaomba kukujulisha kuwa unapaswa kujilipia ada za simu za mkononi na gharama za mtandao wa simu husika unayotumia mwenyewe.
Unaweza kuwa na mkopo mmoja tu na Zenka kwa wakati.

Mkopo Tunayotoa kupitia kitufe (USSD)

Unaweza kuomba mkopo kuanzia kiwango cha shilingi mia tano (Ksh500) mpaka elfu kumi (10,000)
Njia nyepesi ya kuongeza mkopo wako na kwa kiasi cha juu zaidi ni kwa kuwa na mrejesho mzuri, yaani mrejesho kamili na ulio ndani ya muda husika kwenye kumbukumbu za Zenka. Unaweza kufanikiwa katika hili kwa urahisi iwapo utazingatia na kutimiza masharti kila mara unapochukua mkopo na Zenka.
Tunatoa vipindi vya mrejesho vya kuanzia siku 1 hadi siku 30 kwa mrejesheo wa mkupua mmoja.
Tuna kodi ya tozo ya kuanzia 11%.
Tunaomba kukujulisha kuwa unapaswa kujilipia ada za simu za mkononi na gharama za mtandao wa simu husika unayotumia mwenyewe.
Unaweza kuwa na mkopo mmoja tu na Zenka kwa wakati.

Nyongeza ya Mkopo na namna ya kuongeza kupitia kitufe (Mobile App)

Nyongeza ya mkopo ni utaratibu unaokuwezesha kujiongezeshea fedha kwenye salio la mkopo wako, hadi kufikia kikomo cha juu cha mkopo wako?
Ili kupata nyongeza ya mkopo, itakulazimu uwe na mkopo na huo mkopo mkuu wako ni lazima uwe chini ya kikomo ukopaji wako.
Baada ya kuridhisha mahitaji yote ya kupokea nyongeza ya mkopo, fuata maelezo yafuatayo tafadhali:
 1. Anzisha programu tumizi yako (App)
 2. Kwenye slider, chagua kiasi cha fedha unachotaka kuongeza na bofya kwenye “Omba sasa”
Baada ya kuthibitisha kila kitu, utapokea mkopo wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa.
Kwa nyongeza ya mkopo, ada itakayotozwa ni sawa ile ya mkopo mkuu wako.
Unaweza kuomba nyongeza ya mkopo kwa wingi utakavyo, ikiwa tu ukomo wa mkopo wako bado hujakamilika.
Tungependa kukujulisha kuwa nyongeza yako ikifanikiwa, basi hakuna ubadilishaji wa muda wa awali wa kulipa mkopo.

Nyongeza ya Mkopo na namna ya kuongeza kupitia kitufe (USSD)

Nyongeza ya mkopo ni utaratibu unaokuwezesha kujiongezeshea fedha kwenye salio la mkopo wako, hadi kufikia kikomo cha juu cha mkopo wako?
Ili kupata nyongeza ya mkopo, itakulazimu uwe na mkopo na huo mkopo mkuu wako ni lazima uwe chini ya kikomo ukopaji wako.
Baada ya kuridhisha mahitaji yote ya kupokea nyongeza ya mkopo, fuata maelezo yafuatayo tafadhali:
 1. Piga *841# nambari ya (USSD),
 2. Chagua "Nyongeza ya Mkopo",
 3. Tuma kiwango na Bofya "TUMA".
Baada ya kuthibitisha kila kitu, utapokea mkopo wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa.
Kwa nyongeza ya mkopo, ada itakayotozwa ni sawa ile ya mkopo mkuu wako.
Unaweza kuomba nyongeza ya mkopo kwa wingi utakavyo, ikiwa tu ukomo wa mkopo wako bado hujakamilika.
Tungependa kukujulisha kuwa nyongeza yako ikifanikiwa, basi hakuna ubadilishaji wa muda wa awali wa kulipa mkopo.

Ugani wa Mkopo na namna ya kuongeza (Programu Tumizi)

Ugani wa mkopo ni kipengele kinachokupa uwezo juu ya mkopo wako kwa kukuwezesha kuhairisha tarehe ya kuulipia kwa siku saba (7), kumi na nne (14) au thelathini (30)
Ili uombe upanuzi wa mkopo, inakubidi uwe na mkopo ambao haujazidi siku 30 baada ya malipo.
Baada ya kukidhi vigezo vya kupokea mkopo ugani, tafadhali fuata maelezo yafuatayo:
 1. Fungua programu tumizi ya Zenka,
 2. Chagua mkopo ugani,
 3. Bofya "zidisha sasa" na dirisha lenye maelezo litatokea,
 4. Bofya "Zidisha" na ufuate masharti ya kiungo cha malipo
Baada ya muda wa ziada kukubaliwa, tarehe ya malipo ya mkopo wako utasahihishwa na utapokea ujumbe mfupi kwenye simu.
Unaweza kuomba upanuzi wa mkopo kuanzia ile siku ya kwanza ulipochukua mkopo hadi siku 30 baada ya siku ya malipo.
Ada ya mkopo ugani inategemea muhula wa kulipa na utaonyeshwa utakapohitaji mkopo ugani.
Unaweza zidisha muda wako wa mkopo bila kikoma
Tafadhali angalia kama huduma hii ipatikana kwako.

Nyongeza ya mkopo (USSD)

Ugani wa mkopo ni kipengele kinachokupa uwezo juu ya mkopo wako kwa kukuwezesha kuhairisha tarehe ya kuulipia.
Ili uombe upanuzi wa mkopo, inakubidi uwe na mkopo ambao haujazidi siku 30 baada ya malipo.
Baada ya kukidhi vigezo vya kupokea mkopo ugani, tafadhali fuata maelezo yafuatayo:
 1. Piga *841# nambari ya USSD,
 2. Ingiza namba ya siri, herufi 4 - PIN
 3. Chagua "Zidisha" na uangalie ujumbe kuhusu tozo na muda,
 4. Chagua mojawapo ya vipindi vilivyopo,
 5. Fuata kiungo cha malipo kisha utapata ujumbe mfupi kwenye simu.
Baada ya taratibu za kuongezewa muda wa malipo kukamilishwa, tarehe ya malipo ya mkopo wako utasahihishwa na utapokea ujumbe mfupi kwenye simu.
Unaweza kuomba upanuzi wa mkopo kuanzia ile siku ya kwanza ulipochukua mkopo hadi siku 30 baada ya siku ya malipo.
Ada hiyo inategemea na ugani muhula na utaonyeshwa wakati utakapohitaji nyongeza hiyo.
Hakuna ukomo wa mara ngapi unaweza kuongeza mkopo wako.
Tafadhali angalia kama huduma hii ipatikana kwako.

Malipo na siku za Kulipia (Applikisheni ya Simu)

Kuangalia taarifa za mkopo wako, tafadhali ingia kwenye programu tumizi ya Zenka ili upate taarifa zote kuhusu mkopo wako, ikiwa ni salio la mkopo, ada ya mkopo na siku za malipo.
Utafahamishwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu kuhusu siku ya malipo.
Kulipa mkopo wako, tafadhali fuata hatua zifuatazo:
 1. Fungua programu tumizi ya Zenka,
 2. Teremka chini na bofya "Lipa",
 3. Chagua ama badilisha muda wa kulipa (kiwango kilichowazi)
 4. Bofya "Lipa sasa" na ufuate kanuni za kulipa
Baada ya Mkopo wako kulipwa, utapokea ujumbe mfupi kwenye simu yako.
Ada ya asilimia moja (1%) itatozwa kutoka kwenye salio la mkopo lilibaki na utatozwa kwa kila siku unayochelewa kulipa. Ili kumbukumbu yako ya mikopo yako isiathiriwe, tafadhali jaribu kulipa mkopo wako ndani ya wakati.
Hapana. Zenka haina tozo za aina hizo za ada kwenye mkopo ambazo hujiendesha.
Ikiwa huwezi kulipa mkopo wako ndani ya muda uliowekewa, tafadhali angalia vipengele ulivyonavyo, ama wasiliana na huduma yetu ya ukusanyaji. Angalizo, tunakufahamisha ya kuwa tunahifadhi haki za kutoa taarifa juu upungufu ama udanganyifu wa namna yoyote ile kwenye taasisi husika za mikopo.

Malipo na siku za kulipia (USSD)

Kuangalia taarifa za mkopo wako, piga *841#, Ingiza nambari ya siri, Bofya mbili (2). [Angalia salio] kisha bofya "TUMA" ili kupata taarifa za salio lako.
Utafahamishwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu kuhusu siku ya malipo.
Kulipa mkopo wako, tafadhali fuata hatua zifuatazo:
 1. Piga *841#, nambari ya USSD,
 2. Ingiza namba ya siri, herufi - 4,
 3. Chagua "LIPA" na kisha tazama maelezo kuhusu salio lako,
 4. Chagua "Lipa kiasi kamili" na kisha fuata kiungo cha malipo.
Baada ya Mkopo wako kulipwa, utapokea ujumbe mfupi kwenye simu yako.
Ada ya asilimia moja (1%) itatozwa kutoka kwenye salio la mkopo lilibaki na utatozwa kwa kila siku unayochelewa kulipa. Ili kumbukumbu yako ya mikopo yako isiathiriwe, tafadhali jaribu kulipa mkopo wako ndani ya wakati.
Hapana. Zenka haina tozo za aina hizo za ada kwenye mkopo ambazo hujiendesha.
Ikiwa huwezi kurejesha mkopo wako ndani ya muda, tafadhali angalia vipengele ulivyonavyo, ama uwasiliane na huduma yetu ya ukusanyaji. Angalizo, tunakufahamisha ya kuwa tunahifadhi haki za kutoa taarifa juu upungufu ama udanganyifu wa namna yoyote ile kwenye taasisi husika za mikopo.